AUDIO&VIDEO: Tanzania Icons – HayasahaulikiWimbo huu ni zawadi kwa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. JPM alikua baba wa wanyonge, mtetezi wa masikini na mzalendo wa kweli. JPM ataishi ndani ya mioyo ya watanzania mileleDOWNLOAD VIDEODOWNLOAD AUDIO